Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kwenda anga za juu

  • | BBC Swahili
    618 views
    2022, Sara Sabry, Mmisri, alikua mwanamke wa kwanza Mwafrika (na mwanamke wa kwanza Mwarabu) kwenda anga za juu. Alipokuwa mdogo, mwanaanga huyo mwenye umri wa miaka 31 na mhandisi alikuwa akifikiri wazo la kwenda angani ni ndoto. Anasimulia BBC jinsi alivyokiuka vizuizi na uwezekano wa wanawake kufika alipofika. #bbcswahili #misri #angazajuu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw