Jangwa lageuka uwanja wa maua Chile

  • | BBC Swahili
    704 views
    Jangwa la Atacama nchini Chile, ambalo ndio eneo kame zaidi duniani, hivi karibuni lilifunikwa na maua meupe na ya zambarau baada ya mvua za awali kunyesha. Atacama au "jangwa la maua," hupitia hali hii kila baada ya miaka mitano hadi saba baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mbegu zilizofukiwa kuchanua. #bbcswahili #atacama #chile Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw