Viongozi wa upinzani Tanzania waachiliwa huru

  • | VOA Swahili
    3,021 views
    Viongozi wa upinzani nchini Tanzania waachiliwa huru huku mamia ya wafuasi wanaendelea kuzuiliwa baada ya kukamatwa wakipanga maadhimisho ya siku ya vijana. Wanajeshi wa Ukraine washikilia kilomita elfu moja za mraba ndani ya Russia wakati huohuo Zelenskyy anataka mfumo wa ulinzi, silaha na makombora zaidi. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari