Teknolojia ya akiliunde kwenye roboti yatumika hotelini

  • | Citizen TV
    383 views

    Huku maafisa wa usalama wakiendelea kushika doria katika maeneo yanayopakana na msitu wa Boni, mamia ya wakazi bado wanaishi na makovu ya mashambulizi ya kigaidi. Licha ya hofu ya uvamizi, wakazi wa kijiji cha Mararani kaunti ya Lamu, wana imani kuwa hali hiyo ya utulivu itakithiri ili waweze kujikimu