Chuo kikuu cha CUEA kimeadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa

  • | Citizen TV
    182 views

    Chuo kikuu cha Kikatoliki Cha Afrika Mashariki (CUEA) kimetangaza mipango ya kuboresha masomo ya teknolojia ili kukabiliana na mabadiliko ya kasi ya teknolojia hiyo. Chuo hicho, ambacho kinaadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwake kimesisitiza umuhimu wa kukumbatia teknolojia ili kuwezesha utoaji wa huduma bora za elimu na ufanisi wa taasisi hiyo