Idadi ya watalii imeongezekakwa zaidi ya asilimia 50 Malindi

  • | Citizen TV
    242 views

    Ni afueni kwa wadau wa sekta ya utalii mjini malindi baada ya idadi ya watalii wanaozuru eneo Hilo kuongezeka ikilinganishwa na hapo awali. Wamiliki wa hoteli na mikahawa wakisema hali iimebadilika pakubwa kwani wameandikisha ongezeko kubwa la watalii wanaofika katika eneo hilo