Chama cha walimu KNUT Nyamira chaunga mkono mgomo

  • | Citizen TV
    255 views

    Chama cha walimu KNUT tawi la Nyamira wameunga mkono mgomo uliotangazwa kuanza tarehe 26 na katibu mkuu wa kitaifa Collins Oyuu. Wakiongozwa na katibu mkuu wa Nyamira Evans Obiri, viongozi wa chama hicho wamelalamikia serikali kuu kutowaongeza walimu asilimia 4.5% ya mshahara kulingana na mkataba wa makubaliano wa mwaka 2021-2024