Wafugaji wapewa mafunzo ya kilimo South Horr Samburu

  • | Citizen TV
    74 views

    Wafugaji katika eneo la south Horr Samburu kaskazini,wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kupokezwa mafunzo ya kuendeleza kilimo kama njia mbadala ya kujihakikishia chakula majumbani. Wafugaji hao wanaoendeleza kilimo cha mapapai na matunda mengine ya aina mbali mbali ya vyakula wamesema mpango huo utawaondolea dhiki ya kuwapoteza mifugo wao kupitia kiangazi na wizi wa mifugo