Wakulima Tana River waomba msaada wa mitambo ya sola

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakulima waliokumbwa na mafuriko katika eneo la Madogo, kaunti ya Tana River wanaitaka serikali kuwasaidia kurejea kilimo tena baada ya kupoteza vifaa vyao kwenye mafuriko