Mawaziri wapya wapokezwa wizara

  • | Citizen TV
    1,123 views

    Mawaziri leo wameendelea kutwaa ofisi zao rasmi kuanza kazi zao huku walioingia ofisini leo wakiahidi kuimarisha huduma. Waziri wa hazina kuu ya kitaifa John Mbadi amepokezwa rasmi wizara na Profesa Njuguna Ndung'u huku akiahidi kuimarisha uchumi wa Kenya, licha ya changamoto zinazokabili taifa. Kwengineko, Soipan Tuya na Aden Duale pia walipokezana mikoba katika wizara za Ulinzi na Mazingira