Rais Ruto yuko Kisii na Nyamira kwa ziara ya siku-3

  • | KBC Video
    192 views

    Rais William Ruto amesema Kenya imeingia katika ushirikiano na serikali ya Kuwait kusaidia ujenzi na uboreshaji wa shule humu nchini. Akizungumza katika kaunti ya Nyamira wakati wa ziara yake ya siku 3 katika eneo la Gusii, Ruto alisema taifa hilo la ghuba tayari limetoa shilingi bilioni-1.4 kuboresha shule 68 katika kaunti hiyo huku likiahidi ujenzi wa chuo kikuu katika eneo hilo kabla ya Januari mwaka ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive