Mawaziri wapya watakiwa kujukumika

  • | KBC Video
    13 views

    Serikali imechukua hatua mwafaka kuhakikisha baraza jipya la mawaziri linatimiza majukumu yake. Akiongea wakati wa warsha ya mafunzo kwa mawaziri katika chuo cha International Support Peace eneo la Karen kaunti ya Nairobi, mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei alisema uwajibikaji ndio kigezo cha kukadiria utendakazi. Wakati huo huo, Koskei aliwahimiza mawaziri hao kuwa msitari wa mbele katika kuwaondoa wafanyikazi hewa. Timothy Kipnusu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive