Rais William Ruto aanza ziara ya siku 3 Kisii na Nyamira

  • | Citizen TV
    799 views

    Rais William Ruto amekariri msimamo wake wa kuunganisha taifa kwa kushirikiana na viongozi wote bila kujali mirengo ya kisiasa kufanikisha maendeleo. Rais Ruto aliyeanza rasmi ziara yake ya siku tatu eneo la Gusii alifungua miradi mbalimbali huku akionya dhidi ya siasa za kimirengo na migawanyiko.