Uchumi na Biashara: Taarifa mseto za ghulio

  • | KBC Video
    18 views

    Serikali ya kaunti ya Isiolo inadhamiria kufungua kichinjio cha nyama ya kuuzwa katika mataifa ya nje kilicho na uwezo wa kushughulikia mbuzi 10,000, ngómbe 500 na ngamia 300 kwa siku. Akihutubia kongamano la uwekezaji lililowaleta pamoja washiriki kutoka kaunti za Isiolo, Marsabit na Samburu, gavana wa Isiolo Abdi Ibrahim alikariri haja ya kuwekeza zaidi katika mfumo wa kuongeza thamani kwenye bidhaa za mifugo ambayo ni kitega uchumi kwa familia nyingi Kaskazini mwa nchi. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo chetu cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive