John Mbadi aanza kwa ahadi

  • | K24 Video
    39 views

    Kufuatia kutupiliwa mbali kwa miswada yote miwili ya fedha ,waziri mpya wa fedha John Mbadi sasa anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuongeza mapato yatakayotumika kushughulikia matumizi ya serikali. Waziri Mbadi ananuia kujumuisha ulipaji wa mishahara ya idara zote za serikali kwenye mfumo wa ifmis na vilevile kuongeza mapato ya taifa kwa takribani ksh.milioni 400 kwa mwaka