Mkaazi wa Kiteezi anaeleza kile ambacho wao walikuwa wanasubiri

  • | VOA Swahili
    494 views
    Mkaazi wa eneo la ajali ya maporomoko, huko Kiteezi, , ambako kuna dampo la takataka anaeleza kuwa serikali ya Uganda ilikuwa na mpango wa kununua ardhi katika eneo wanaloishi. Namata Jackline, anasema kuwa wao hawakuwa na tatizo la kuondoka katika eneo hilo. "Kwa sababu maendeleo yakija unaondoka, alisema mkaazi huyo. Alisema kuwa pia ni lini serikali itawalipa fidia ili waondokehapo. Lakini anaendelea kusema, "sasa watoto wetu wamefariki ndicho walichotaka..." #uganda #kampala #takataka #dumpo #maporomoko #vifo #polisi #voa #voaswahili