Madereva watoa himizo baada ya watu 13 kupoteza maisha katika ajali ya barabara

  • | K24 Video
    134 views

    Serikali imehimizwa kuanzisha mradi wa kupanua barabara kuu ya Eldoret kuelekea nakuru ili kuzuia ajali za mara kwa mara. Madereva wametoa himizo hilo baada ya watu 13 kupoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la coast bus, basi hilo liligongana na gari aina ya toyota paso katika maeneo ya migaa, kaunti ya nakuru.