Obama asema ‘nahisi namatumaini’ akihutubia mkutano wa Wademokratik

  • | VOA Swahili
    564 views
    Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama alipokelewa kwa shangwe katika Mkutano wa Wademokratik wa Kitaifa huko Chicago Jumanne usiku, akiwaambia umati uliojitokeza alikuwa “mwenye “shauku” na “matumaini,” na kumuunga mkono Kamala Harris kuwa rais ajaye wa Marekani. “Tuna nafasi ya kumchagua mtu ambaye ametumia maisha yake yote akijaribu kuwapa watu fursa ile ile aliyopewa na Marekani. Yule ambaye anakujali na kukusikiliza na atasimama kila siku na kukupigania,” Obama alisema. -AP #dnc #obama #harris #voa