EACC yawaonya wanyakuzi wa ardhi Nakuru kuwa watachukuliwa hatua

  • | Citizen TV
    109 views

    Tume ya madili na kupambana na Ufisadi nchini EACC hii Leo inatoa habari kwa taifa kuhusu tuhuma za unyakuzi wa aridhi ya umma katika kaunti ya Nakuru huku ikidaiwa kuwa jumla ya ekari 164 mjini humo zimenyakuliwa na watu binafsi.