Wananchi watoa maoni mseto baada ya Gavana Mwangaza kubanduliwa

  • | Citizen TV
    3,742 views

    Baada ya bunge la seneti kupiga kura ya kuunga mkono hoja ya kumuondoa mamlakani Gavana wa Meru Kawira Mwangaza, wananchi wametoa hisia na kauli mseto katika kaunti hiyo.