Wazee wa MauMau walalamikia kupuuzwa kwa muda na serikali ya kitaifa

  • | Citizen TV
    220 views

    Wazee wa Mau Mau wamekashifu kupuuzwa na serikali Licha ya kupigania ukombozi wa taifa miaka 60 iliyopita. Miongoni mwao ni Mzee Ezekiel Onyango almaarufu Onyango Siasa baridi kutoka kaunti ya Migori ambaye anaeleza kuwa alikuwa mstari wa mbele kufanya Kenya kuwa nchi huru na sasa anajuta kusahauika na serikali kuu