Mradi wa nyumba za bei nafuu wazinduliwa Mtopanga

  • | Citizen TV
    153 views

    Mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu eneo la mtopanga eneo Bunge la Kisauni umezinduliwa rasmi abapo nyumba zaidi ya 800 zinatazamiwa kujengwa kwa kima cha shilingi bilioni 4. Gavana wa mombasa abdulswamad sharrif Nassir pamoja viongozi waliohudhuria hafla hiyo wametaka nafasi za ajira kuwanufaisha vijana ili kukabiliana Na tatizo la ukosefu wa usalama Na uraibu wa mihadarati.