Familia za vijana waliokamatwa kwa kufanya uharibifu katika klabu ya Oscar Sudi zalilia uhuru wao

  • | Citizen TV
    719 views

    Wazazi wa vijana waliokamatwa wakati wa maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen Z walipofanya uharibifu katika klabu ya mbunge wa Kapsaret Oscar Sudi, wanamwomba mbunge huyo kuwasamehe vijana hao. Vijana hao 12 wamezuiliwa rumande miezi miwili sasa, huku wengine ambao ni wanafunzi wakilazimika kukatiza masomo yao kwa sasa