Mahakama yasitisha kwa muda kubanduliwa kwa Gavana Mwangaza

  • | Citizen TV
    23,169 views

    Ni afueni ya muda kwa gavana wa Meru Kawira Mwangaza baada ya mahakama kusitisha kubanduliwa kwake kama gavana. aidha mahakama imemzuia spika kutangaza kiti hicho kuwa wazi hadi pale kesi dhidi yake itakaposikizwa na kuamuliwa. maseneta hapo jana waliidhinisha hoja ya kumtimua mwangaza kwenye kikao kilichosheheni mihemko usiku wa kuamkia leo. maseneta haswa wa mrengo wa Kenya Kwanza walithibitisha mashtaka matatu dhidi ya Mwangaza.