Maafisa 5 wa polisi wafikishwa mahakamani baada ya wafungwa kutoroka

  • | Citizen TV
    4,591 views

    Maafisa watano kutoka kituo cha polisi cha Gigiri wamefikishwa katika mahakama ya Milimani baada ya mahabusu 13 akiwemo mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jumaisi kutoroka.