Kina mama waendeleza utamaduni wa lugha ya Abasuba

  • | Citizen TV
    387 views

    Jamii ya Abasuba ilikongamana katika kijiji cha kisegi kusherekea juhudi za akina mama wakongwe wanaoendeleza lugha yao ya kibasuba na pia kuwa mstari wa mbele kwa kupigania madili mema katika jamii. James latano alihudhuria sherehe hizo ya kipekee na kuandaa taarifa ifuatayo.