Maafisa watano wa polisi wa kituo cha Gigiri wafikishwa kortini, baada ya wafungwa 13 kutoroka

  • | NTV Video
    1,086 views

    Maafisa watano wa polisi wa kituo cha Polisi cha Gigiri waMEfikishwa kortini, baada ya wafungwa 13 kutoroka kUTOKA kituo hicho. Watano hao, Ronald Babo, Evans Kipkirui, Mollent Achieng, Zachary Nyabuto na Gerald Mutuku wanachunguzwa kwa madai ya kusaidia kutoroka kwa wafungwa waliokuwa wakizuiliwa katika kituo hicho. U

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya