Mivutano ya kisiasa yaibuka Mlima Kenya

  • | KBC Video
    5 views

    Mvutano umeibuka miongoni mwa wanasiasa wa eneo la Mlima kenya huku baadhi ya wabunge wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichun’gwa wakimshutumu naibu rais kwa kuendeleza maslahi ya kibinafsi badala ya maslahi ya kitaifa.Katika hotuba yake kwenye kanisa moja eneo la Tigania Magharibi, Ichungwa alimbeza naibu rais kwa kutumia nafasi yake kujinufaisha yeye binafsi. Matamshi hayo yaliungwa mkono na viongozi walioandamana na Ichungwa waliosema naibu rais anachochea migawanyiko katika eneo la Mlima na taifa kwa jumla na hivyo kukaidi lengo la kuunganisha taifa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive