Ugonjwa umeongezeka miongoni mwa watoto Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    345 views

    Ugonjwa wa saratani umeongezeka miongoni mwa watoto katika ukanda wa kaskazini mwa Bonde la ufa. Madaktari sasa wanarai wakenya kujitokeza na kutoa damu, itakayowasaidia katika matibabu ya watoto hao