MCA mteule wa Nairobi Joy Mwangi adai kushambuliwa na mwenzake

  • | KBC Video
    23 views

    Mwakilishi Wadi Mteule wa kaunti yaNairobi Joy Muthoni Mwangi anatafuta haki kufuatia madai ya kushambuliwa na mwakilishi wadi wa Komarock Chris Mtumishi.Mwangi anadai wawili hao walizozana kuhusu miradi ya maendeleo katika wadi ya Komarock ambapo alijeruhiwa wakati wa makabiliano yaliyojiri. Kwa pande wake, Mtumishi amesema tayari amejiwasilisha kwa kituo cha polisi cha Kayole kuhusiana na suala hilo ambalo sasa litasuluhishwa kupitia utaratibu wa mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive