Wanaofuja fedha za umma wamulikwa

  • | KBC Video
    11 views

    Mbunge wa Ugenya aliye pia kiongozi wa chama cha Movement for Democracy and Growth, David Ochieng’ ametoa wito wa utathmini mpya wa miradi yote inaohusisha ushirikiano baina ya sekta ya umma na binafsi akitahadharisha kwamba huenda taifa hili likapoteza kiasi kikubwa cha fedha. Akiongea kwenye afisi ya chifu wa kata ya Ukwala Mashariki katika kituo cha biashara cha Siranga baada ya kuzindua miradi kadha ya maendeleo inayofadhiliwa na hazina ya ustawi wa eneo bunge, Ochieng’ aliwahimiza Wakenya kuwa macho na kuwafichua maafisa wafisadi na wale wanaofuja fedha za umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive