| MWANAMKE BOMBA | Grace Njuguna anawasaidia wagonjwa wa Cerebral Palsy

  • | Citizen TV
    233 views

    Changamoto zinazotokana na ulezi wa watoto walemavu husababisha wazazi wengi kukata tamaa na kuwatelekeza Wana wao. Lakini Hali ni tofauti Kwa Grace Njuguna ambaye amejitolea kuwasaidia watoto wanaoishi Na tatizo la ugonjwa wa kupooza ubongo na homa ya uti wa mgongo. Zaidi ya watoto 40 wanaotoka vitongojini katika mji wa Nakuru wamepata mahala salama katika mikono ya ajuza huyo mwenye umri WA miaka 80. Hebu tusikize simulizi ya safari yake iliyochochowa na mjukuu wake takriban Miaka 9 iliyopita.