Wahadhiri wa chuo kikuu cha Pwani waanza mgomo wao

  • | Citizen TV
    372 views

    Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Pwani wamejiunga na wenzao katika vyuo vingine vikuu kushiriki mgomo baada ya serikali kupuuza mkataba wa CBA.