Mradi wa kustawisha kina mama na vijana waanzishwa Mombasa

  • | Citizen TV
    269 views

    Katika hatua inayolenga kuinua wanawake katika Kaunti ya Mombasa, Wakfu wa Mama Haki umeanzisha awamu ya pili ya Mpango wa Uwezeshaji wa STAWISHA, unaolenga zaidi ya Vijana na Wanawake 10,000.