Serikali ya kaunti ya Makueni yashirikiana na Uingereza kuboresha mpango wa kawi

  • | Citizen TV
    151 views

    Serikali ya Makueni imezindua mpango wa kawi wa miaka kumi unaotarajiwa kuhakikisha wakaazi wa Makueni wanapata kawi ya bei nafuu na isiyo na madhara kwa mazingira.