Wanafunzi sita waliofariki katika ajali ya barabarani wafanyiwa mazishi ya pamoja leo Kitui

  • | TV 47
    28 views

    __ Wanafunzi sita ambao waliaga dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea kyoani kaunti ya kitui wiki iliyopita wameandaliwa ibada ya mazishi leo. Mazishi hayo ya pamoja ya 6 hao yalifanyika katika uwanja wa michezo wa kyoani ambapo viongozi wengi walihudhuria na kuzifariji familia hizo.viongozi wameitaka mamlaka ya kitaifa ya barabara kuu nchini kenya kuimarisha hatua za usalama barabarani ili kuzuia visa kama hivyo siku za usoni - wakiwataka madereva kuchukua tahadhari zaidi barabarani.watoto hao sita ni wa shule ya msingi na sekondari ya kyoani, watatu walikuwa wa familia moja, wengine watatu kutoka familia jirani.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __