Bob Njagi na Ndugu wawili waliotoweka Kitengela wapatikana

  • | Citizen TV
    7,320 views

    Ni afueni kwa familia na marafiki wa ndugu wawili Aslam na Jamil Longton pamoja na Bob Njagi baada ya kupatikana wakiwa hai katika mazingira tatanishi maeneo ya kitusuru. haya yanajiri baada ya juhudi kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja chama cha mawakili LSK wakiwemo wanahabari kushinikiza kuachiliwa kwao