Naibu Rais Rigathi pamoja na viongozi wengine wazuru Soko la Marikiti kuzungumza na wafanyabiashara

  • | TV 47
    71 views

    __ Naibu Rais Rigathi Gachagua hii leo amezuru soko la Marikiti Mjini Nairobi kuzungumza na wafanyabiashara wadogo kuhusu sera za serikali na mipango iliyotengwa katika utekelezaji wao wa kibiashara na mazingira ya kazi inayoathiri utendaji wao wa kazi.kutokana na hotuba yake, naibu rais ameiomba serikali ya kaunti ya nairobi kutenga mazingira mwafaka kwa wafanyabiashara wadogo huku akiahidi kutetea haki zao. Aidha, amemuomba gavana wa kaunti ya nairobi kushiriki na umma katika kufanya uamuzi kabla ya kutekeleza miradi mbalimbali.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __