Naibu Inspekta Jenerali Gilbert Masengeli yuko huru

  • | Citizen TV
    2,796 views

    Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli sasa yuko huru baada ya mahakama kufutilia mbali kifungo chake cha miezi sita gerezani. Hiyo ni baada ya masengeli kujiwasilisha mbele ya mahakama kuelezea sababu za kutofika mahakamani licha ya kuagizwa mara saba. Masengeli pia aliomba msamaha kwa kukosa kufika mahakamani akisema ni shughuli za kikazi wala si kukosea heshima mahakama