Mzee wa miaka 90 auliwa na ndovu Igembe kaunti ya Meru huku wanakijiji wakichukua sheria mikononi

  • | TV 47
    32 views

    Mzee mmoja wa miaka 90 kutoka Eneo la Igembe ya Kati Kaunti ya Meru amefariki baada ya kushambuliwa na ndovu waharibifu wanaowahangaisha wakazi katika maeneo hayo. Kulingana na wakazi wa eneo hilo ndovu mwengine amewajeruhi kina mama wengine wawili kutoka eneo la kaai eneo la igembe.wakazi wamelaumu shirika la huduma kwa wanyamapori kwa utepetevu huo Aidha ndovu mmoja aliyesabisha mauji ya mzee huyo aliishia kuchinjwa na wakazi na kujifaidi kwa minofu.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __