Mahakama kuu yaharamisha fedha za hazina ya CDF na kusema kuwa ni kinyume na katiba

  • | NTV Video
    179 views

    Mahakama kuu imeharamisha fedha za hazina ya ustawi wa maeneo bunge na kusema kuwa ni kinyume na katiba. Jopo la majaji watatu pia limeipa serikali miaka miwili kuvunjilia mbali hazina hiyo na kusema kuwa inakiuka dhamira ugatuzi kwa kujenga ngazi nyingine ya ziada. Majaji hao wanasema uwepo wa CDF ni njia moja ya ubadhirifu wa fedha za umma. Hazina hiyo ilikuwa imetengewa shilingi bilioni 53 katika mwaka fedha wa 2024/2025.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya