Jamil Longton, Nadhim Longton na Bob Njagi wapatikana mwezi mmoja baada ya kutekwa nyara

  • | NTV Video
    320 views

    Jamil Longton, nduguye Nadhim Longton na Bob Njagi wamepatikana Ijumaa hii baada ya kupotea kwa mwezi mmoja tangu maandamano dhidhi ya serikali kuanza nchini. Kuachiliwa kwao kumeambatana na kusafishwa kwa aliyekuwa kaimu inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli aliyekuwa ni aanze hukumu ya miezi sita leo kwa kukosa kuijibu mahakamani waliko watatu hawa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya