Hali ya nyuga nchini:Waziri Murkomen azuru uwanja wa Kirigiti kaunti ya kiambu kuukagua

  • | TV 47
    52 views

    Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen hii leo alizuru Uwanja wa Kirigiti katika kaunti ya Kiambu kuigagua kwa kuwa kiwanja hiyo kilianza kujengwa mwaka wa 2020 na serikali ya kaunti ya kiambu pamoja na serikali ya kitaifa kisha kusima kwa sababu ya fedha kumaliza mradi huo.kwa upande wake murkomen ameridhishwa na kazi ambayo imefanywa kwa kiwanja hiyo hadi kwa sasa .na amesema sehemu iliyobaki kama kutengeneza uwanja wa mpira, kueka viti sehemu ya mashibiki kuketi na kuekwa kwa makamera za cctv kwenye uwanja huo utafanyika hivi karibuni. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __