Mahakama yamwondolea Masengeli hukumu ya kifungo gerezani

  • | KBC Video
    163 views

    Mahakama kuu imefutilia mbali kifungo cha miezi sita alichohukumiwa naibu inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli. Jaji Lawrence Mugambi alisema aliondolea mbali kifungo hicho baada ya Masengeli kuomba mahakama hiyo msamaha na idara ya mahakama kwa jumla baada ya kukaidi maagizo ya kufika mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive