Mahafala 4,145 wafuzu kwenye chuo kikuu cha Nairobi

  • | KBC Video
    16 views

    Wizara ya elimu imewahimiza wanachama wa chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu na kile cha wahudumu wa vyuo vikuu wanaogoma kurejea kazini huku mashauriano ya kutafuta suluhu ya kudumu yakiendelea. Akizungumza wakati wa sherehe ya 71 ya kufuzu katika chuo kikuu cha Nairobi, waziri wa elimu Julius Ogamba alisema kuwa serikali na vyama hivyo waliafikia makubaliano kuhusu baadhi ya malalamishi miongoni mwayo nyongeza ya mshahara ya kati ya asilimia 7 na 10.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive