Wasiwasi katika shule ya upili ya wasichana ya Kibirigwi, baada ya walinzi kuuawa na majambaza

  • | NTV Video
    376 views

    Hali ya wasi wasi imetanda katika shule ya upili ya wasichana ya Kibirigwi huko Kirinyaga baada ya mlinzi wa shule hiyo kuuawa na majanbaza waliokuwa wameiteka shule huyo usiku wa kuamkia leo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya