Kazi ni Kazi I Tunamwangazia Obadiah ambaye anatengeneza hema na kukodisha

  • | KBC Video
    11 views

    Katika Hafla yoyote ile, iwe ni sherehe ya kulipa mahari, harusi na hata mazishi, zipo bidhaa ambazo utahitaji ikiwa ni pamoja na hema, viti maalum na ala za burudani miongoni mwa vingine. Kwenye makala ya Kazi ni Kazi Juma hili Fredrick Muoki anamwangazia Obadiah ambaye kazi yake ni kutengeneza hema na kukodisha ala za burudani. Tazama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive