Siku ya usafi duniani I Wanamazingira wahimiza mbinu bora za utupaji taka

  • | KBC Video
    16 views

    Wanamazingira wametoa wito wa kuimarisha kwa uhamasisho kuhusu mbinu bora za kushughulikia taka.Wakati wa maadhimisho ya siku ya usafi duniani katika bustani ya John Michuki kanti ya Nairobi,naibu mwenyekiti wa halmashauri ya kitaifa ya usimamizi wa mazingira Sophia Matura alisisitiza umuhimu wa kila mmoja kuchukua jukumu binafsi kusafisha mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive