Vyama vya akiba na mikopo kukaguliwa na serikali kabla havijatangaza mgao wa faida

  • | KBC Video
    16 views

    Hali ya kifedha ya vyama vya akiba na mikopo itakaguliwa na serikali kabla havijatangaza mgao wa faida ili kuepusha udanganyifu. Waziri wa ushirika, Wycliffe Oparanya amesema uchunguzi wa awali umebainisha kwamba baadhi ya vyama hivyo huchukua mikopo kutoka kwa benki ili viweze kutangaza viwango vya juu vya mgao wa faida kwa lengo la kuwavutia wateja. Taarifa zaidi ni kwenye kitengo chetu cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive