Wakenya kuzuru mbuga za wanyama bila malipo

  • | KBC Video
    52 views

    Wakenya watapata fursa ya kuingia kwenye mbuga na hifadhi za wanyama pori hapa nchini bila malipo Jumamosi ijayo tarehe 28 mwezi septemba. Haya ni kulingana na waziri wa utalii Rebecca Miano. Waziri huyo alitangaza hayo katika kaunti ya Samburu wakati wa maadhimisho ya siku ya vifaru duniani ambapo alisema serikali hivi karibu itazindua mfumo wa fidia kwa wakazi walioathiriwa na mashambulizi ya wanyamapori huko Samburu mashariki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive